BAADA YA YANGA KUZUBAA SASA,MRISHO NGASSA KUTUA SIMBA !!
BONGO SWAHILI.....Imelipata tamko rasmi la
azam kuhusiana na sakata la mchezaji wao anayeonesha mapenzi ya wazi na yanga
ambayo ndio mabingwa wa kagame cup
Club ya azam yatoa tamko kuhusu ngasa kupitia ukurasa
wao wa facebook "Azam FC
Klabu ya Azam FC
inapenda kutoa taarifa rasmi kuwa baada ya baada ya mchezaji wetu Mrisho Ngasa
kuonesha wazi kuwa na mapenzi na Yanga kwa kuivaa na kuipiga busu Logo ya
Yanga, tuliwapa Yanga nafasi ya upedeleo ya kumnunua lakini hadi leo hakuna ofa
iliyokuja toka Yanga. simba wametoa ofa na uongozi unatafakari ofa ya Simba Yanga.... Ngasa anauzwa $50,000 wadau wa Yanga tunajua
mnampenda sana Ngasa... fikisheni ujumbe kwa uongozi wenu...."
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza Vodacom kwa kuja na wazo zuri la kutambua michango na umuhimu wa mitandao ya kijamii, ...
Followers
Blogger news
About Me
Natambua kuwa una kazi nyingi za kukupatia kipato na kujenga taifa. Hata hivyo majukumu yako hayakuzuii kupata habari na burudani! Hii ndiyo sababu nikaanzisha Blog hii ambayo itakufuata popote ulipo. Hapa utapata Makala za Burudani, Simulizi za Mapenzi,Makala za Uhusiano, Meseji kali za Mapenzi, Chemsha Bongo pamoja na Habari za Burudani za Mastaa wa hapa Bongo. Kubwa zaidi ni kukupa mengi yahusuyo Uhusiano,Mapenzi pamoja na udaku. Maoni yako ni muhimu sana. Tafadhali nitumie comments zako baada ya kusoma kazi husika. Lengo ni kuboresha zaidi. KARIBUNI MARAFIKI!!
UCHAGUZI 2025: BALOZI NCHIMBI ATOA WITO
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
amesema kuwa msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo ya watu
pamoja na...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
0 comments:
Post a Comment